MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2212; Hayo Mashindano Yanakufikisha Wapi…
Kwa asili binadamu huwa tunapenda kushindana, mweleze mtu matatizo yako naye atakuambia hayo yako si kitu, atakueleza matatizo yake ambayo ni makubwa zaidi. Unaweza kuwa unaendesha gari barabarani na mbele yako kuna mtu mwingine anaendesha taratibu tu, anaonekana kutokuwa na haraka. Unaamua umpite kwa sababu una haraka na kile kitendo