MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; MADHARA YA FIKRA CHANYA.
Tumeshajifunza sana manufaa ya fikra chanya, namna zinavyotuwezesha kuziona fursa zaidi na kutupa matumaini badala ya kukata tamaa. Lakini kila lenye faida huwa pia lina hasara zake. Fikra chanya pia zina madhara kama haziambatani na matendo chanya. Kuna watu wanakuwa na fikra chanya kweli kweli, lakini hakuna hatua zozote chanya