MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2213; Nia Njema Inapoleta Matokeo Mabaya…
Kila uovu huwa unaanza kwa nia njema, lakini kwa sababu ya udhaifu wetu binadamu, huwa hatujui wakati gani nia njema inakuwa na madhara, tunaendelea kufanya tunachoamini ni sahihi wakati siyo sahihi. Ndiyo maana katiba na sheria zimewekwa, ili kuhakikisha hata kama mtu ana nia njema kiasi gani, udhaifu wake binafsi