MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KUWA BORA ZAIDI YA JANA…
Ni rahisi kujipima na kushindana na wengine, lakini unapoingia tu kwenye mashindano hayo, unakuwa umejipoteza. Mtu sahihi wa kushindana naye ni wewe mwenyewe, kila siku kuhakikisha unakuwa bora kuliko ulivyokuwa jana yake. Wewe ndiye unayejijua zaidi, wewe ndiye unajua unataka nini na ndani yako una nini. Kama hujajua hayo, utahangaika