MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; FURAHIA UNAPOSHINDWA…
Unajifunza mengi unaposhindwa kuliko unaposhinda. Kushindwa kunakuonesha ni maeneo yapi una udhaifu, wapi bado hujawa vizuri na hivyo kulazimika kujifunza na kukazana uwe bora zaidi. Kushinda kunakufanya ujione uko vizuri, unajua kila kitu na hilo linapelekea uwe na kiburi kinachokupelekea kuanguka na kushindwa. Mara kwa mara jiweke kwenye mazingira ya