MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KWA NJE NI RAHISI…
Kitu chochote kile ukikiangalia kwa nje, huwa kinaonekana ni rahisi kufanya na chenye manufaa makubwa. Ni mpaka uingie ndani ndiyo unakua ugumu na changamoto za kitu hicho. Hali hii ya kuona vitu ni rahisi imekuwa kikwazo kwa wengi kupiga hatua kwa sababu unapokutana na ugumu kwenye kile ulichochagua kufanya, ni