MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; FAIDA ISIYO SAHIHI NI HASARA…
Ipo kauli maarufu kwamba hakuna kipya chini ya jua, tungekuwa tunaielewa kauli hii, tungejiepusha na mengi. Lakini huwa hatuielewi, huwa hatujifunzi kwa historia na hivyo kurudia makosa yale yale. Angalia kwenye utapeli, hakujawahi kuja utapeli mpya kabisa, utapeli wowote ule unatumia uongo au tamaa kuwanasa watu. Hii ina maana kama