MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; ZIADA, UHABA NA KIASI…
Ziada ni mbaya, chochote unachofanya au kuwa nacho kwa ziada huwa kinakulevya na kukupa kiburi. Unaona tayari umeshapata kila kitu. Uhaba nao ni mbaya, kwa sababu unachokosa unakihofia na kukuweka kwenye hali ya kutawaliwa na wale wanaoweza kukupatia unachokosa. Mpango mzima ni kuwa na kiasi, kufikia kiasi. Kwa kiasi, huna