MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2221; Kuwa Makini Na Motisha Unaotoa…
Serikali ya India ilikuwa na tatizo la nyoka, nyoka walikuwa wengi kiasi cha kuhatarisha usalama wa watu. Njia mbalimbali za kuwatokomeza hazikufanikiwa. Mwisho wakajaribu njia ya kuwashirikisha wananchi, ambapo mtu aliyepeleka nyoka aliyekufa, alilipwa fedha. Njia hiyo ilifanya kazi, kwani kwa kipindi kifupi nyoka walipungua sana. Lakini cha kushangaza, nyoka