MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UONGO NDIYO MSINGI WA MAOVU…
Kila uovu unaofanyika, huwa unaanzia kwenye uongo. Tena uongo unaanza kidogo, lakini unaendelea kukua ili kulinda uongo wa mwanzo. Lakini pia mtu anapotumia uongo na ukamfanikishia kile anachotaka, anashawishika zaidi kuendelea na uovu mwingine. Wengi huanza na uongo kidogo, wakijiambia hawataendelea hivyo, lakini uongo huo unapowapa wanachotaka, wanajikuta wakiendelea nao