MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2226; Maisha Yanayogusa Maisha Mengine…
Mshumaa unapowashwa kwenye chumba chenye giza, huwa unatoa nuru kwenye chumba kizima. Mshumaa huo hautaisha haraka iwapo utawekwa kwenye chumba kikubwa kuliko chumba kidogo. Kadhalika mshumaa huo hautaisha haraka kwa kuwasha mshumaa mwingine. Mawimbi ya bahari yanapoinuka, huwa yanainua kila kilicho kwenye bahari hiyo, hakuna kinachoachwa chini na wimbi linaloinuka.