MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; FANYA KAMA UNAMSHAURI MWINGINE…
Inapokuja kwenye matatizo ya wengine, ni rahisi sana kuwashauri, huwa hatukuso chochote cha kuwaambia. Lakini inapokuja kwenye matatizo yetu wenyewe, tunajikuta tumekwama na hatujui nini cha kufanya. Hiyo ni kwa sababu tunakuwa tumeweka hisia zaidi kwenye matatizo yetu na hisia zinapokuwa juu, fikra zinakuwa chini. Unapokuwa kwenye matatizo yoyote yale,