MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2230; Usijishikize Na Matokeo, Jishikize Na Kusudi…
Chanzo cha wengi kuanguka na kukata tamaa ni kushikiza utu wao kwenye matokeo waliyopata au wanayotaka kuyapata. Lakini matokeo huwa yako nje ya uwezo wa mtu kuyadhibiti na kuyaathiri. Hivyo mambo huwa hayaendi kama mtu anavyotegemea na hapo ndipo kuanguka na kukata tamaa kunapotokea. Mahali sahihi pa kushikiza utu wako