MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; GUSA MAISHA YA WENGINE…
Ni rahisi kusema unatekeleza tu wajibu wako bila kujali nini kinatokea kwa wengine.Ni rahisi kujali maslahi yako bila ya kujali ya wengine. Inashawishi kupambana na hali yako na kuwaacha wengine wapambane na hali zao.Hayo yanaweza kukupa kile unachotaka, yanaweza kukufanya ubaki kwenye kazi yako, lakini hayatakufanya uache alama yoyote.Hakuna anayekumbukwa