MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2233; Hofu Ya Kifo Ni Ukomo Kwenye Maisha….
Kitu pekee ambaa uhakika nacho kwenye maisha ni kwamba kila mmoja wetu atakufa, itakuwa lini hiyo ndiyo siri ambayo siyo rahisi mtu kung’amua. Sasa kwa kuwa hatujui hilo litatokea lini, wengi wamekuwa wanaishi kwa hofu kubwa, kitu ambacho kinakuwa ukomo kwao kuyaishi maisha yao kwa ukamilifu wake. Kwa kuhofia kifo,