MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; SIYO KINACHOFANYWA, BALI ANAYEKIFANYA…
Watu hufikiri kuna kazi au biashara ukizifanya mafanikio ni uhakika. Hilo siyo kweli, kwenye kila kazi na biashara, kuna waliofanikiwa na walioshindwa. Kinachowatofautisha watu hao ni sifa zao za ndani. Wale wanaofanikiwa wana sifa za tofauti kabisa na wanaoshindwa. Sifa za mtu zina nguvu na mchango mkubwa mno kwenye mafanikio