MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2234; Kuficha Hakusaidii…
Watu huwa wanapenda kuficha matatizo, ili wengine wasiyajue au kuyaona, kwa kudhani wanawalinda kwa kufanya hivyo. Lakini watu siyo wajinga, wanakuwa wanajua pale mambo yanapokuwa hayaendi sawa, hivyo kuwaficha ni kujidanganya mwenyewe. Watu watakuheshimu zaidi kama utakuwa muwazi, mkweli, mwaminifu na unayeshirikisha mkakati wa kutatua tatizo lililotokea. Watakuwa tayari kukuunga