MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2235; Umeamua Kuwakera Watu Gani?
Kwenye maisha, lazima kuna watu utawakera, hata kama lengo lako ni kumfurahisha kila mtu, bado hutaweza kufanya hivyo. Hivyo chochote unachofanya kwenye maisha, jua kuna watu utawakera, kuna watu watakupinga na kukataa kwa kile unachosimamia. Lengo lako halipaswi kuwa kutokuwakera watu au kukubaliwa na kila mtu, hilo haliwezekani. Lengo lako