MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2236; Ndiyo Wawakilishi Wa Jamii Husika…
Ukitaka kujua tabia za jamii ya watu wowote wale, angalia tabia za watu ambao ni maarufu au viongozi kwenye jamii hizo. Hao ndiyo wanawakilisha vizuri tabia za watu wote kwenye jamii hiyo kwa ujumla. Na hilo linaweza kuwa limetengenezwa kwa njia mbili; Moja, jamii nzima ndiyo ina sifa hizo na