MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2237; Mtu Wa Kumtupia Lawama…
Kwenye kila jamii, huwa kuna mtu au watu ambao hutengwa kwa ajili ya kutupiwa lawama pale mambo yanapokuwa hayaendi vizuri. Hilo halijaanza leo, limekuwepo yangu enzi na enzi, ni watu wakutupiwa lawama ndiyo wamekuwa wanabadilika. Kuna kipindi kuwatafuta wachawi na kuwachoma ilikuwa kitu maarufu, pale jamii ilipopata majanga, wengi waliamini