MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; PESA, MUDA NA NGUVU…
Pesa ni nyenzo inayokuwezesha kupata muda na nguvu zaidi. Kama kuna kitu unafanya mwenyewe kwa masaa 10 kwa siku, ukitumia pesa unaweza kupata wengine wanaokupa masaa hayo kumi na nguvu zaidi. Wengi wamekuwa wanajisifia kwa kuokoa pesa, kabla hawajaangalia ni kuda na nguvu kiasi gani wanapoteza. Mara zote unaookka pesa,