MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; TATIZO SIYO SABABU…
Huwa unapanga kufanya kitu, halafu sababu zinaingilia na wewe unaruhusu sababu hizo ziwe kikwazo. Tatizo kubwa zaidi linakuja pale sababu inapokuwa hiyo hiyo kila siku, miaka nenda miaka rudi, sababu ni ile ile. Mfano husomi vitabu kwa sababu huna muda, miezi inakwenda, husomi na sababu ni hiyo hiyo kwamba huna