MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2239; Jinsi Ya Kuepuka Gereza Walipo Wengi…
Gereza kubwa ambalo mtu anakuwa amefungiwa maisha yake yote, huwa amelitengeneza yeye mwenyewe. Gereza hilo huwa linatokana na matarajio ambayo mtu anakuwa nayo kwenye maisha yake. Kinachowafungia watu kwenye gereza hilo ni nguvu kubwa mbili, maumivu na raha. Watu hufanya vitu vinavyowapa raha na kuepuka vitu vinavyowapa maumivu. Jamii nzima