MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; MAAMUZI MAKUBWA YANAFANYWA NA WACHACHE…
Maamuzi yoyote makubwa na muhimu huwa yanafanywa na watu wawili mpaka watatu wenye ushawishi mkubwa na kisha kusukumwa kwa wengine wakubaliane nayo na kuonekana ni maamuzi ya wengi. Ni vigumu kwa watu wengi kufikia maamuzi kwa pamoja kwa sababu kila mtu anakuwa na mtazamo wake ambao unatofautiana na wa wengine.