MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2240; Marehemu Alisema…
Nakumbuka wakati tuko shule ya msingi, kama mwalimu alitoa kazi na hujaifanya, ulikuwa unatafuta kisingizio ili kukwepa adhabu. Kisingizio rahisi ilikuwa ni kuangalia mwanafunzi ambaye hajaja shule siku hiyo na kusema alichukua daftari yako. Watu wasiokuwepo na ambao hawawezi kujitetea, huwa wanasingiziwa vitu vingi mno. Vingi ya hivyo huwa siyo