MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2241; Sababu Tano Za Biashara Kushindwa…
Biashara zote zinazoshindwa, huwa zinakuwa zimepitia moja au baadhi ya sababu hizi tano. Moja ni kutokujulikana, wateja hawajui kama biashara ipo na hivyo hawaji kununua. Hapa tatizo ni masoko hayafanyiki kwa uhakika, hivyo biashara inakuwa na bidhaa au huduma nzuri, lakini wanaolengwa hawajui kama ipo. Dawa ya hii ni kuwa