MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2242; Vipi Kama Wewe Ndiye Unayekosea?
Wakati bado nafanya kazi ya kufundisha shule ya sekondari, siku moja tukiwa ofisini na mwalimu mwingine aliyekuwa anasahihisha kazi za wanafunzi alilalamika kuhusu wanafunzi kukosa swali moja kwa majibu yanayofanana. Nikamwambia kwa utani, kama wanafunzi wote wamekosa swali hilo na majibu yao yanafanana, huenda wewe ndiye uliyekosea kwenye jibu lako.