MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UNATUMA UJUMBE GANI?
Sisi binadamu tuna uwezo mkubwa wa kumsoma mtu kupitia anachosema, jinsi anavyokisema na kile anachofanya. Hivyo kila unachofanya na kusema, kuna ujumbe unatuma kwa wengine, ambao wanausoma vizuri na kuamua wewe ni mtu wa aina gani. Mtu anapokuhudumia unajua kabisa kama mtu huyo anakujali au la, kama anapenda anachofanya au