MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2243; Kuhangaika Na Watu…
Muda na nguvu zako ni rasilimali mbili muhimu zenye ukomo kwenye maisha yako. Kila siku una masaa 24 pekee na nguvu zako ni kwa kiwango fulani. Kuna mambo mengi kwenye siku yako yanayowinda muda na nguvu zako, usipokuwa makini katika kulinda rasilimali hizo, zitapotea bila ya kufanya chochote. Moja ya