MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KABLA JAMBO HALIJAKUSUMBUA…
Kabla hujaruhusu jambo lolote likusumbue au kukupa wasiwasi, jua kwanza kama lipo ndani au nje ya uwezo wako. Lililo ndani ya uwezo wako ni lile unaloweza kuchukua hatua na ukalibadili na lililo nje ya uwezo wako ni lile ambalo hakuna hatua unaweza kuchukua. Mfano umetoka nyumbani kuna mahali unataka kuwahi,