MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; TUNZA UTULIVU WAKO…
Unaweka mipango yako vizuri, unafanya kila unachopaswa kufanya lakini matokeo yanakuja tofauti na ulivyotegemea. Hapo ndipo wengi huvurugwa na kukata tamaa, kwa kuona mambo hayawezekani. Unapaswa kujua hiyo ni hali ya kawaida, inayomkumba kila mtu. Hata unaoona wamefanikiwa sana, siyo kwamba hawakutani na hali hiyo, wanakutana nayo sana, ila wanaikabili