MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2246; Mhimili Usioyumbishwa…
James Altucher, mwandishi na mwekezaji wa nchini Marekani amekuwa akiandika kuhusu makosa mbalimbali aliyofanya kwenye maisha yake na yakapelekea apate matokeo mabovu pamoja na kuingia kwenye matatizo makubwa. Amekuwa akieleza kwamba ameshaanzisha biashara 20, 18 kati ya hizo zikashindwa kabisa. Anaeleza amewahi kuuza kampuni yake na kuwa milionea, lakini miaka