MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2247; Uchaguzi Wa Pili Muhimu Kwenye Maisha Yako…
Nilishakuambia uchaguzi wa kwanza muhimu kabisa kwenye maisha yako ni kujichagua wewe mwenyewe. Kujipigia kura wewe kama kiongozi mkuu wa maisha yako, mtu pekee wa kukutoa hapo ulipo sasa na kukufikisha kule unakotaka kufika. Naamini hilo ulilielewa vizuri, ilishajichagua na sasa unaweka juhudi kufika unakotaka kufika. Kuna uchaguzi wa pili