MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KITU CHA THAMANI ZAIDI…
Huwa tunashangaza, vitu vya thamani tunavichukulia poa, ila visivyo vya thamani tunahangaika navyo kweli. Fikiria muda unaotumia kwenye mambo yasiyo na manufaa yoyote kwako, kuanzia kufuatilia habari, maisha ya wengine, mabishano na ushabiki wa kila aina. Unayapa mambo hayo muda kuliko unavyoweka kwenye vitu vyenye tija kama kujifunza au kufanya