MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; JICHELEWESHE UNAPOKUWA KWENYE HALI HII.
Unapogundua kwamba upo kwenye hali ya kusukumwa na husia zaidi kuliko fikra, basi jicheleweshe. Hisia zina tabia ya kukufanya uone unapaswa kuchukua hatua mara moja, ila hatua unazochukua ukiwa kwenye hali hiyo huwa siyo nzuri kwako. Ukiwa kwenye hasira chelewa sana kuchukua hatua yoyote ile, jipe muda zaidi. Hasira zitakaposhuka