MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2250; Yasiyoonekana Ambayo Huyapi Uzito…
Rasilimali zote muhimu huwa zina uhaba au ukomo, hivyo zinapotumika eneo moja, haziwezi kutumika tena eneo jingine. Rasilimali hizo zinaweza kuonekana kufanya vizuri kwa matumizi fulani, lakini zingetumiwa kwa namna nyingine zingefanya kilicho bora zaidi. Unapoona kizuri na kukifurahia, unakuwa hujaona kilicho bora zaidi na hivyo hukipi uzito. Chukua mfano