MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2251; Vitu Rahisi Kuonekana Kwa Waliofanikiwa…
Kwa kila aliyefanikiwa, huwa kuna mengi yanasemwa kuhusu wao. Kuna hadithi nyingi watu watakuambia kuhusu waliofanikiwa. Lakini nyingi ni za yale mambo yanayoonekana, ambayo siyo ukweli kamili kuhusu watu hao. Iwe yanayosemwa ni mazuri au mabaya, siyo ukweli kamili. Kuna mengi ambayo waliofanikiwa wanakuwa wamepitia ambayo hakuna anayeweza kuyaona na