MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KUPOTEZA UNACHOHITAJI…
Watu wengi wamekuwa wanapoteza kile wanachokihitaji, ili kupata wasichohitaji na mwisho kujikuta wameanguka vibaya. Hiyo yote husababishwa na tamaa ya kutaka kupata zaidi au kutokutaka kupitwa na kile ambacho wengine wananufaika nacho. Warren Buffett anaita huu ni upumbavu wa kiwango cha juu na ndiyo unapelekea wengi kuanguka kwenye biashara na