MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2252; Kama Huwezi Kuamua, Hujui Unachosimamia…
Nimewahi kukutana na ujumbe huu mtandaoni ambao ulinifikirisha sana, ujumbe unasema; kama uko njia panda kati ya kunichagua mimi au kumchagua mtu mwingine, usinichague mimi. Huo ni ujumbe mfupi na mzito sana ambao unahitaji muda uweze kuuelewa vizuri. Lakini ujumbe mkubwa uliopo ndani yake ni kwamba kama inabidi umchague mtu