MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2253; Rasilimali Ulizonazo Zinatosha Kufanya Makubwa…
Wakati taifa la Marekani linapeleka mtu kwa mara ya kwanza mwezini, hawakuwa na kompyuta yenye uwezo kama simu unayotumia sasa. Vitabu bora kabisa tunavyosoma mpaka leo, viliandikwa zaidi ya miaka elfu mbili iliyopita, wakati bado watu wanaandika kwenye mawe na magome ya miti. Viongozi bora kabisa walioendesha mataifa na taasisi