MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; FUTA MSAMIATI WA KUSHINDWA…
Hofu ya kushindwa ni moja ya vikwazo vinavyowazuia wengi kuchukua hatua na hata kuwakatisha tamaa wanapokutana na magumu. Wewe usijiulize unawezaje kuvuka magumu unayokutana nayo, bali jiulize magumu yanawezaje kukushinda. Kwa kubadili mtazamo wako kwa namna hiyo, unabadili kabisa mwelekeo wa maisha yako. Kushinda kunakuwa hakuna nafasi kwako, haijalishi unakabiliana