MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2255; Mashindano Yasiyo Na Zawadi…
Jamii ikitaka kututega tufanye kitu, huwa inakiweka kwa namna ya mashindano. Kukishakuwa na hali ya kushindana, hata kama ushindi hauna zawadi, mtu utasukumwa kushindana ili ushinde. Unafikiri nini kinafanya mitandao ya kijamii ipate watumiaji wengi na wanaoitumia kwa muda mrefu? Ni hali ya mashindano, pale mmoja anapoona mwenzake ana wafuasi