MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2256; Mazoea Ndiyo Yanayokupoteza…
Mazoea ni tabia, pale unaporudia rudia kufanya kitu, akili inakariri na hivyo unajikuta unaweza kukifanya bila hata ya kufikiri. Kuna mambo mazoea ni mazuri kwa sababu inapunguza mzigo kwa akili kufikiri kila jambo. Mfano shughuli ndogo ndogo na za kawaida unazofanya kila siku. Lakini kuna mambo ambayo ukiweka mazoea tu