MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; NI MSIMAMO…
Kama unayataka mafanikio makubwa, lazima ujijengee msimamo kwenye kile unachofanya. Hakuna utakachofanya mara moja ukafanikiwa, ila kile unachofanya kwa kurudia rudia ndiyo utafanikiwa. Kuandika makala moja siyo jambo la kishujaa, ila kuandika kila siku kwa muda mrefu kutakufanya mwandishi bora. Kila mtu anaweza kufanya kitu mara moja, ila wanaofanikiwa wanajijengea