MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; HESHIMU THAMANI YAKO…
Unapaswa kuijua thamani yako na kisha kuiheshimu na kuisimamia, bils kujali wengine wanafanya nini au kukucgukuliaje. Hupaswi kuyumbishwa na maoni ya wengine kuhusu wewe, ijue thamani yako na kuisimamia. Kama ambavyo dhahabu itabaki kuwa dhahabu, hata kama itawekwa kwenye tope au kudharauliwa na wengine. Na kama ambavyo noti ya elfu