MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; NA KWAKO YANAWEZA KUTOKEA…
Yale unayoona yakitokea kwenye maisha ya wengine, jua na kwako pia yanaweza kutokea. Iwe ni mazuri au mabaya, yana nafasi ya kuja kwako pia. Hivyo unapaswa kuwa na maandalizi sahihi ya kukabiliana na lolote linalokuja kwako, ili lisikujie kwa mshangazo. Mstoa Seneca alishauri mtu uishi kwenye ile hali unayoihofia kutokea