MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2260; Kutaka Fedha Kusikupe Upofu…
Uliwahi kufanyika utafiti kwa wale wanaofanya utapeli. Utafiti huo ulitaka kujua iwapo watu wanaofanya hivyo hawasutwi nafsi zao kwa kuwaibia na kuwatapeli wengine. Mmoja wa watu waliohojiwa kwenye utafiti huo alitoa jibu ambalo liliwafanya watafiti wapate mtazamo ambao hawakuwa nao awali. Mtu huyo aliwaambia ni kweli tabia ya utapeli inamuumiza