MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2261; Tumia Thamani Badala Ya Uhaba…
Utajiri wa zamani ulijengwa kwenye misingi ya uhaba, kwamba rasilimali muhimu ni chache, wachache wanazihodhi na kunufaika kwa kiwango kikubwa. Hivyo ndivyo zama za kilimo zilivyofanya kazi, wachache walimiliki mashamba na wengi kuwa wafanyakazi au watumwa kwenye mashamba hayo. Kadhalika zama za viwanda zikarithi hilo, kumiliki kiwanda ilihitaji mtaji mkubwa,