MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KIPO UNACHOWEZA KUFANYA…
Haijalishi unapitia hali gani, kuna kitu unachoweza kufanya. Usikate tamaa na kukosa matumaini kwamba hakuna unachoweza kufanya. Martin Luther King amewahi kusema kama huwezi kuruka kimbia, kama huwezi kukimbia tembea na kama huwezi kutembea tamaa, fanya chochote kuhakikisha unasonga mbele. Hivyo ndivyo unapaswa kukabili kila linalokuja kwenye maisha yako, kwa