MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2262; Mtu Asiye Na Madhaifu…
Kila mtu huwa ana madhaifu yake, ni wale wanaoyatambua na kuhakikisha hayawi kikwazo kwao ndiyo hufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yao. Wale wanaoyakataa madhaifu yao huwa ni kiburi tu walichonacho au ujinga wa kutokujitambua, lakini huwa hawafanikiwi. Kwa sababu hata wapate fursa nzuri kiasi gani, madhaifu yao huwa kikwazo. Kila